Miradi

Miradi

Miradi huongezwa na msimamizi pale taarifa zake zinapokuwa tayari kuchapishwa.

Mfumo wa usimamizi wa biashara ya nguo
Imekamilika

Mfumo wa usimamizi wa biashara ya nguo

Mfumo rahisi wa usimamizi wa biashara ya nguo utakaowezesha biashara yangu kurekodi 'Manunuzi', 'Jumla ya Mauzo ya Kila Siku', 'Gharama za Uendeshaji wa Biashara' na kutoa 'Ripoti'.

Mteja
Kake Queesns Collection
Eneo
Kariakoo / Dar es Salaam
Tarehe
09 Aug 2026